Wakuu naomba mtu yeyote anikopeshe 3mil

Eee mm ni Mabumbe,,, Tuwasilane basi Mkuu kwenye PM naona una nia kweli ya kunisaidia,,
 
pole mkuu kama una dhamana nenda kwenye taasisi za mikopo na baadhi ya mabenki yenye riba nafuu unaweza kupata mkopo. Humu JF utapoteza muda wako tu kila mtu anajifanya mjuaji na analeta kejeli na maneno ya kukuvunja moyo

kwel mkuu ngoja nijaribu jaribu,,
 
nilisikia mil 3 ukituma kwa m-pesa simu kama sio ipad, galaxy au blackberry haiingii....fanya uhakiki wa simu plz....pesa isijepotea......
Mtu anaeomba 3M casually namna hii lazma anatumia iPad3 na iPhone4S
kuna Siku nilipigiwa simu 'King', nahitaji loan ya Tshs 20M by Monday'
nikasema Kama naonekana wa hivyo, basi kuogea revola kunalipa sana.
 
Mtu anaeomba 3M casually namna hii lazma anatumia iPad3 na iPhone4S
kuna Siku nilipigiwa simu 'King', nahitaji loan ya Tshs 20M by Monday'
nikasema Kama naonekana wa hivyo, basi kuogea revola kunalipa sana.

Mkuu vp mbona hunipi direction kwamba nikupate wapi.?
 
wakuu habarini za kazi,,,
naomba kama kuna mtu anaweza kunikopesha 3mil tuwasiliane nataka niazishe biashara ndogo dhamana nitaweka,,,,

Mabumbe mkopo hutolewa kwa mtu au kampuni ambayo inajulikana kwa mkopeshaji. Nenda kwenye vyombo vya fedha ili waangalie business plan na viability of your project. Dhamana uliyotoa kibenki haipokeleki kwani haiuziki (not enforciable). Ni muhimu kufahamu kuwa benki zingi hazitoi fedha kwa start-up (miradi inayoanza ambayo haina historia)
 
Back
Top Bottom