Wakuu naomba msaada wa kuongea na Askofu huyu

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,628
Nimetafakari sana na kuwakumbuka mashahidi wa Uganda kile kipindi cha Kabaka Mwaga kwa Wakristu Wakatoliki nikaona huyu mtu japo si Mkatoliki lakini ana uhusiano wa kimaono na misimamo.

Ieleweke sijawahi kuwa KKKT na sitegemei lakini kuna haja ya kumpa ujasiri zaidi kwa kumwambia Asante. Hakuna asie fahamu mambo yaliyoko huko nyumbani

FB_IMG_1574438312181.jpeg
 
Askofu Dr Steven Munga japo wamuona shujaa lkn anapitia kipindi kigumu mno tangu mwaka juzi.

Chuo alichokuwa anakisimamia cha kumbukumbu ya kuzaliwa Sebastian Kolowa(SEKOMU), kimezuiliwa kudahili wanafunzi kwa ngazi ya shahada.

Chuo hichi ni moja ya vyuo bora kulingana na upekee wa kozi inazotoa, ni chuo kinachoongoza Africa mashariki na kati kwa utoaji wa elimu maalumu, na ukitaka kuthibitisha hili tafuta wahitimu wa chuo hicho uwalinganishe na wengine kwenye upande huo.

Pia kilikuwa kinatoa kozi adhimu ya Bsc in ecotourism and nature resource conservation

Pia Doctor of medicine in mental health and rehabilitation moja kati ya kozi muhimu sana kwa afya ya akili ya binadamu.

Lakini cha ajabu serikali imekifungia kutokana na mapungufu ya kiuongozi , nadhani walitoa adhabu bila kuangalia umuhimu wa hicho chuo kwenye ustawi wa Jamii ya Africa .

Ts me Black ma colour
 
Back
Top Bottom