Nilikuwepo hapo wiki iliyoisha kiwanda cha kinglion niliitwa nikafanye interview ya umeme ila kwenye mshahara tulishindwana.
Namba ya hr wa hapo sikuisave mpk niitafute maana kuna namba nyingi ambazo sikusave nimewasiliana nao sana
Ofisi yao kubwa ipo makumbusho ghorofa kubwa kabisa kwa juu limeandikwa kinglion.Na hapo ndio kuna mahr wa kibongo na wafanyakazi wengi(ukifika hapo na ukiwapata unaweza ukapata mwanga zaidi)
Hapo kibaha kuna hr wa kichina tu na mchina mmoja wa kubagain pesa anaongea mpk kiswahili