Practice make perfect.Wakuu nahitaji msaada wenu kwa hili
Huyo atakuja kuwa kama Gudy rafiki wa liliπFanya kazi au muombe baba yako hela ununue kasimu kadogo uweke laini ya mtandao wowote .
Ukimuona binti yeyote ukampenda anza jitihada za kupata namba yake ila jitahiidi ajue kabisa wewe ndiye unayeitaka hii itakuondelea maswali ya nani kakupa namba yangu maana uwa yanaondoa utulivu wa akili .
Sasa najua wakati wa kuomba namba lazima uwe na aibu ,jikaze ikiwezekana tumia hata mtu muombe akuombee maana mchawi ni namba ukiipata unasubiri usiku wa saa nne mpaka saa tano .
Unaandika maneno yote mazuri kuhusu mapenzi unamtumia na hakikisha umeweka delivery report ili ikifika ujue ,ikifika tu ,zima simu mpaka kesho ni lazima kama anakupenda atajibu chochote hata kukukejeli ila usiwaze ni mwanzo wa kutengeneza confidence .
Endelea na huo mchezo hata majuma mawili mtajikuta mmeshaanza kuchart kawaida mara yupo getoni ,mara usubiri wazazi watoke umlete sebuleni kwenu yaani namna hiyo mdogo wangu .
Kwa ushauri zaidi zama PM, tuma hata jero nikusaidie mbinu zingine za toleo jipya
kama vipi kanunue dada poaSabuni nimetumia sana lakini ni sawa kula ugali na mboga ni ka ugali kadogo sasa nataka mboga niko siriaz mkuu nielekeze nisiwe DOMO ZEGE..?
Kwani unataka uwafanye kitu gani hao utakaowatongoza?Wakuu nahitaji msaada wenu kwa hili
Anhaa ππ kwamba ni kadogo kake GuddyHuyo atakuja kuwa kama Gudy rafiki wa liliπ
hahaha angalia steps na maneno ya dogo ni GUDY mtupuAnhaa ππ kwamba ni kadogo kake Guddy
Ila Guddy bwana anapenda kula vilitafunwa bila kupitia hatua stahiki
Tajiri Abbas nini shida ?mcheki loose Nut au Lloyd Munroe
Dogo focus na issue za Msingi, Karne hii wanawake hawapendi kutongozwa, kila Mwanaume wanamuona muongo. Wanawake utawapata katika harakati zako wala usiharakishe, hao wapo kwa ajili yetu na hawaishi.mimi ni kijana wa miaka 20 Sina mpenzi lakini nashangaa nashindwa kutongoza yani unakuta dem nimemuelewa lakini. siwezi kumwambia nakosa kujiamini Wakuu