Wakuu msaada wa ku update samsung galaxy s6edge

Uki update root inatoka..utakua kweny latest version with no root access
Ahaaa na hakuna simple way ya kuirudisha kwanza ndo nika update in a normal way direct?
 
Ipo ila sio ya uhakika kama kuweka rom mpya...

Nenda playstore download super su ya chainfire ukisha install ukifungua kweny setting au option nadhan utaona option ya full unroot...
 
So it can harm au unamaanisha nini ukisema si ya uhakika
 
Sim yako ipo rooted. Na ina custom room. So haiwezi kuapdate
 
Nakushauri usiichokonoe kabisa. Kama sio wewe uliye iroot hujui ni kwanini ilikuwa rooted. Unaweza kuta ni ya wizi waliroot ili ibadilishwe IME au ni zile locked sasa ikawa unlocked. Au ilifungwa na TCRA wajaja waka iroot wakabadili IME
 
Duh
 
hyo cmu iliwekwa custom rom na OTA update au SMART SWITCH update inawezekana ikiwa cmu yako iko ktk oficial rom.. km unataka update inakupasa ufanye manually kwa kudownload firmware version unayoitaka then unainstall thru odin.. bt km ni mtumiaji wa kawaida nakushauri uendelee kutumia hvyo ilivyo coz naamin uko na marshmallow na inafaa kabisa.
 
Back
Top Bottom