Wakuu .za asubuh...naomba msaada ..ni kampuni ipi Tz inayofanya usafirishaj wa mizigo from china ambayo angalau ina gharama nafuu...SIlent ocean naona wana gharama sana...
Angalau nipate kampuni hata 3 nzur zenye gharama nafuu na security na sio watu wa longo longo
Msaadaa tafadhal wakuu