Wakuu msaada pitia apa

kijana255

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
277
257
Habari wakuu,

Msaada kwa wazoefu mwaka ujao napanga kufungua duka la vifaa vya umeme msaada kwa wenye uzoefu, location itakuwa Mbeya.
 
mbeya kubwa sana je ni sehemu ili tunapotoa ushauri tuwe tuna hit na location kabisa, maana naweza kukushauri uweke product fulani location fulani kumbe hiyo product haiuziki hapo mahali.
 
Mbeya uyole boss
 
Back
Top Bottom