Wakuu Msaada Kuhusu TCU.

EJay

JF-Expert Member
May 21, 2012
693
172
Kuna marafiki zangu wawili wamechaguliwa Opening University na sasa wanahitaji kusoma vyuo vya kawaida,watafanye?
 
Waliomba wenyewe kusoma huko open au?

mmoja aliomba kama kozi namba 5 mwingine namba 4,waliweka kwenye marekebisho ya Elligible and non,wakidhani hawatachaguliwa huko.

Sasa wanaomba msaada wa mawazo namna ya kufanya hebu toeni maoni yenu.
 
Duh!mkuu,me nadhani hili suala ni la kuwaface tcu wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom