Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,326
- 2,239
Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail zote zinapotea then ina stack then huwezi fanya chochote inajamm, lakin usipofungua This PC app, hakuna tatizo,
Nimejaribu kutumia Xyproler lakini wapi, nimepiga windows na ku update PC bado hamna kitu.
Sasa ndo nikapewa wazo la kuweka OS nyingine nayo ni KUBUNTU 20.1 ili nitumie mbili pamoja na windows 10, je naweza tatua tatizo kwa hivo.
NB: Nimejaribu ku run hardware diagnosis ya hard disk lakini imesoma hamna tatizo.
Msaada wakuu, make PC ndo kila kitu ikifa hapa na zoezi la kula pindi litakua gumu zaidi.
Chief-Mkwawa
ymollel
troublemaker
pirate