Wakuu msaada ku boot two operating system

Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail zote zinapotea then ina stack then huwezi fanya chochote inajamm, lakin usipofungua This PC app, hakuna tatizo,

Nimejaribu kutumia Xyproler lakini wapi, nimepiga windows na ku update PC bado hamna kitu.

Sasa ndo nikapewa wazo la kuweka OS nyingine nayo ni KUBUNTU 20.1 ili nitumie mbili pamoja na windows 10, je naweza tatua tatizo kwa hivo.

NB: Nimejaribu ku run hardware diagnosis ya hard disk lakini imesoma hamna tatizo.
Msaada wakuu, make PC ndo kila kitu ikifa hapa na zoezi la kula pindi litakua gumu zaidi.

Chief-Mkwawa
ymollel
troublemaker
pirate
1. Jaribu kuweka software ya kutoa malware (sio anti virus) kama malware bytes uone kama itadaka kitu.

2. Ikistuck kwenye file explorer Ingia task manager (ctlr + alt + delete) angalia kitu gani kinakula resource na kufanya computer isi respond?

3. Kuweka os nyengine inawezekana nenda tu kwenye bios Hakikisha boot ipo kwenye legacy, ukiona ipo secure boot (uefi) itoe weka legacy.

Then eka os unayopenda mwenyewe, Sema Ubuntu ama kubuntu na assignment za chuo inazingua, utafanya kazi ukienda kwenye office inaharibu alignment zote.
 
Kaka hebu ni suggestie na na program ya kuondoa malware kabisa make mtandaoni zipo utitili
 
Mkuu hiyo ndo result nilopata baada ya kutumia hiyo software ulonambia nimewa delete lakani naona bado tu, ngoja nikajaribu na hizo option zengine.
Chief-Mkwawa
DSC_0054.jpg
 
Hio nimetaja hapo juu, malware bytes.
Mkuu naskia kurun dual OS kwa hiyo machine yangu et wanadai haitaweza, itakua inachukua muda mrefu sana kuwaka, we na amini utakua na uzoefu kuliko bandugu wa hapa mtaani, hebu nipe uzoefu kidogo bro.
 
Si kweli, kwani unarun zote mbili kwa mpigo?

Dual os pc ikiwaka una chagua os ya ku boot, hivyo tofauti ya ku boot labda ni Hizo sekunde 2 ama Tatu ambazo utakuwa una chagua os gani uboot.
 
Mkuu shukrani sana kwa mwongozo saivi nipo natumia kubuntu.
 
Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail zote zinapotea then ina stack then huwezi fanya chochote inajamm, lakin usipofungua This PC app, hakuna tatizo,

Nimejaribu kutumia Xyproler lakini wapi, nimepiga windows na ku update PC bado hamna kitu.

Sasa ndo nikapewa wazo la kuweka OS nyingine nayo ni KUBUNTU 20.1 ili nitumie mbili pamoja na windows 10, je naweza tatua tatizo kwa hivo.

NB: Nimejaribu ku run hardware diagnosis ya hard disk lakini imesoma hamna tatizo.
Msaada wakuu, make PC ndo kila kitu ikifa hapa na zoezi la kula pindi litakua gumu zaidi.

Chief-Mkwawa
ymollel
troublemaker
pirate
HDD ndio shida kaka....change..chukua backup ya data zako...nunua hdd mpya weka then tatizo lako litaisha....hio unayotumia sasa ifanye km external HDD...otherwise utakuja poteza na data zako kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom