wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na ww si mwanademokrasia. tunamsakama mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nn ndani ya chama.Nani asiye mjua prof.lipumba? amekuwa ndani ya cuf kwa muda gani? amefanya nn ndani ya cuf? kwa muda aliokuwa mwenyekiti cuf waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui? tukiachana na prof.lipumba wakina mrema, cheyo, mbatia nao vpi? waweza kufananisha mafanikio yao na mbowe? tuumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama nihawa ccm na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka. leo kama sio mbowe hata hao wakina zitto, mnyika, kafulila, lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za mbowe na slaa.
pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.

Wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na wewe si mwanademokrasia. Tunamsakama Mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nini ndani ya chama.
Nani asiye mjua prof.Lipumba? amekuwa ndani ya CUF kwa muda gani? amefanya nn ndani ya CUF? kwa muda aliokuwa mwenyekiti CUF waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya Mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui?
Tukiachana na prof. Lipumba wakina Mrema, Cheyo na Mbatia nao vpi? Waweza kufananisha mafanikio yao na Mbowe? Tumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, Mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama ni hawa CCM na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka.
Leo kama sio Mbowe hata hao wakina Zitto, Mnyika, Kafulila, Lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za Mbowe na Slaa.
Pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.
Mbowe shule hana uwezomdogo tofauti na zitto then kina lipumba vyama vyao unaruhusiwa kuchukuafomu mkutano mkuu ndio utakaoamua Zito alipochukua fomu aliitwa na wazee wa kichaga akaambiwa asichukue fomu akatii happ ndio kwenye hoja yetu sip Km tunamchukia freemen la tunataka democrasia