Wakuu mbona mnausakama uenyekiti wa Mbowe tuu?, Lipumba, Mrema, Cheyo na Mbatia vipi hao?

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
Wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na wewe si mwanademokrasia. Tunamsakama Mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nini ndani ya chama.

Nani asiye mjua prof.Lipumba? amekuwa ndani ya CUF kwa muda gani? amefanya nn ndani ya CUF? kwa muda aliokuwa mwenyekiti CUF waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya Mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui?

Tukiachana na prof. Lipumba wakina Mrema, Cheyo na Mbatia nao vpi? Waweza kufananisha mafanikio yao na Mbowe? Tumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, Mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama ni hawa CCM na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka.

Leo kama sio Mbowe hata hao wakina Zitto, Mnyika, Kafulila, Lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za Mbowe na Slaa.

Pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.
 
wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na ww si mwanademokrasia. tunamsakama mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nn ndani ya chama.Nani asiye mjua prof.lipumba? amekuwa ndani ya cuf kwa muda gani? amefanya nn ndani ya cuf? kwa muda aliokuwa mwenyekiti cuf waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui? tukiachana na prof.lipumba wakina mrema, cheyo, mbatia nao vpi? waweza kufananisha mafanikio yao na mbowe? tuumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama nihawa ccm na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka. leo kama sio mbowe hata hao wakina zitto, mnyika, kafulila, lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za mbowe na slaa.
pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.

Sawa Mushi....tumekusikia MBE....oops sorry...tumekusikia SAA....

Tena ukizingatia wanaotishia uenyekiti huo ni hawa "watoka mbali" .........ingekuwa hata ni kina KIDASAA....ingekuwa afadhali.
 
wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na ww si mwanademokrasia. tunamsakama mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nn ndani ya chama.Nani asiye mjua prof.lipumba? amekuwa ndani ya cuf kwa muda gani? amefanya nn ndani ya cuf? kwa muda aliokuwa mwenyekiti cuf waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui? tukiachana na prof.lipumba wakina mrema, cheyo, mbatia nao vpi? waweza kufananisha mafanikio yao na mbowe? tuumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama nihawa ccm na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka. leo kama sio mbowe hata hao wakina zitto, mnyika, kafulila, lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za mbowe na slaa.
pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.

Umeongea ukweli mtupu! Chadema wanakisakama kwa vile kimeishika pabaya serikali ya CCM. CUF na vyama vingine haviwanyima usingizi!
 
Hao wengine walishakufa na kilichowaua ni ugonjwa huu huu wa kung'ang'ania madaraka.
Sasa tunajitaidi tu kumtibu huyu mg'onjwa mahututi Mbowe na hataki anavitema vido sa mi sijui lengo lake
 
Watu wanaotaka kuongoza taasisi iliyowekewa misingi imara na walioimarisha misingi hiyo wapo na wana nguvu mara nyingi huishia kuua taasisi hiyo. Hivyo kama mtu anajiamini ana uwezo na anakubalika na Watanzania aanzishe chama chake ili awe mwasisi, mwenyekiti na hata rais wa nchi baadaye.
 
Mbowe na Slaa wamejutoa mhanga kufa kwa ajili ya cdm, sasa hao wa rundi wanataka kuharibu chama..
Na mwishowe wakiue
 
hii thread ni nzuri na jamaa amethink big....mara zote chama kinachoigusa na kuikosoa serikali ndiyo kinafanyiwa mipango kife......hii imetokea na ss tushawasoma....ukisaliti utatimuliwa tu....Nawakubali sana makamanda wangu wa chadema sababu sio waoga na wapambanaji hasaaaaa......Dr songa mbele mti wenye matunda ndo upigwa mawe...NGUVU YA UMMA
 
Kwa wale waliowahi kutega mitego ya kunasa ndege mtakumbuka hili. Mtego hutegwa mfano wa manati kwa kamba ya mpira. katikati ya mtego huwekwa punje za mchele au mhindi. ndege hukusanyika kudonoa nafaka. ukiona ndege wamejazana mtego hufyatuliwa na ndege wengi huanguka wakiwa taabani na wengine kufa kabisa. Muwindaji makini hawezi kuhangaika na ndege wanaogaragra chini kwani hao tayari wako kwenye himaya yake. bali huwafukuzia wale ndege walionusurika kwenye mtengo na wanajitahidi kuruka kujinusuru.
 
Mbowe ni habari ya Mujini, hata Taswira analijua hili pamoja na muke wao na Abuu ulotu bi Utaifakwanza.
 
Mti wenye matunda siku zote ndo unaopigwa mawe!hauna mtunda unahangaika nao wa nini?
 
Tokea mfumo wa vyama vingi uanze, Chadema imeongozwa na wenyeviti 3 (kumbuka mfumo wenyewe una miaka 20 tu) yaani mzee Mtei, Bob Makani na sasa Freeman Mbowe, NCCR-Mageuzi imeongozwa na wenyeviti 3 pia, Marando, Mrema na sasa Mbati (ingwa Marando aliongoza like miaka 2 au 3 hivi na kumpa Mrema bila kufanya uchaguzi wowote, kilichotokea, wa umri wangu wote tunakujua) CUF imeongozwa na wenyeviti 2, mwasisi wake James Mapalala na sultan Lipumba (yalifanyika mapinduzi) na ukweli sipati picha kama kile chama cha NRA cha bwn Kighoma Ali Malima kama kingekuwepo, sijui Lipumba angekua wapi kati ya NRA na CUF, sina hakika. UDP hakijawahi kubadiri uongozi kwa nafasi ya mwenyekiti, ccm, tokea imeanzishwa 1977 hadi sasa, imeongozwa na wenyeviti 4, haijawahi kufanya uchaguzi wowote wa kidemokrasia, hiyo nafasi hua mtu anapewa tu, ni mjinga tu na asiyekuweza kua na kumbukumbu sawa anaweza kusema CDM haina demokrasia chini ya Mbowe, Bob Makani alikua Msukuma wa Ibadakuli Shinyanga, halafu watu wanasema chama cha Wachagga!
 
Wanaomsakama Mbowe ni mamluki wa CCM wanaohofia msimamo wake. Tukisema mambo ya Uenyekiti...What is the mystery with the position?
 
Wakati mwingine tuacheni unafki, mtu unapokuwa mnafki hali ya kuwa unautambua ukweli basi wewe hufai kuiongoza na wala kusililizwa na jamii na wewe si mwanademokrasia. Tunamsakama Mbowe kwamba kakaa kwenye uenyekiti mda mrefu pasipo kuangalia mafanikiyo yake katika chama, muda sio tatizo, tatizo kafanya nini ndani ya chama.

Nani asiye mjua prof.Lipumba? amekuwa ndani ya CUF kwa muda gani? amefanya nn ndani ya CUF? kwa muda aliokuwa mwenyekiti CUF waweza kufananisha mafanikiyo ya chama chake na ya Mbowe?? au ndo kama hatuoni na kujifanya hatujui?

Tukiachana na prof. Lipumba wakina Mrema, Cheyo na Mbatia nao vpi? Waweza kufananisha mafanikio yao na Mbowe? Tumtendee mtu haki yake wazee tuache unafki, Mbowe anastahili kuwa kuendelea kuwa mwenyekiti kwani bado nguvu anayo, moyo wa kukitumikia chama anao, kama anamapungufu basi si suala la kumshauri tuu, wanaotuvurugia chama ni hawa CCM na wasaliti ndani ya chama wenye njaa na madaraka.

Leo kama sio Mbowe hata hao wakina Zitto, Mnyika, Kafulila, Lissu wasingekuwa hivyo kama sio jitihada za Mbowe na Slaa.

Pinga hoja kwa kutoa nguvu ya hoja.

Ni kwa sababu amekuwa tishio kwa MAGAMBAs. Haiku na jingine.
 
Mbowe shule hana uwezomdogo tofauti na zitto then kina lipumba vyama vyao unaruhusiwa kuchukuafomu mkutano mkuu ndio utakaoamua Zito alipochukua fomu aliitwa na wazee wa kichaga akaambiwa asichukue fomu akatii happ ndio kwenye hoja yetu sip Km tunamchukia freemen la tunataka democrasia
 
Mbona John Shibuda alipotangaza kugombea uenyeketi wa Taifa na Mkapa, kwa maelekezo ya CCM akatekwa na TISS wakati akielekea Dodoma na kufichwa kusikojulikana hadi uchaguzi ulipokwisha ndio akaachiwa kutoka mafichoni. Je hiyo ndiyo demokrasi mnayoihubiri CCM!?

Mara hii Sitta na Lowassa wameapa kwamba kama watawekewa mizengwe ya kuenguliwa basi wako radhi kuiona CCM inameguka. Ninaisubiri kwa hamu 2015, sijui CCM itajinusuru vipi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom