Hahaha.. namanisha haifunguki kwangu
Wazime na hewa pia.....ila watuachie mchi yetuWahuni tuna mpango wa kuzima mitandao yote ya simu nchini Hakutakuwepo na voda, airtel, yas, wala nini.
🤣🤣🤣Hapo sasa itakuwa Nepal 2Wahuni tuna mpango wa kuzima mitandao yote ya simu nchini Hakutakuwepo na voda, airtel, yas, wala nini.