Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

Halafu mimi siwajui hao watu maana huwa sitaki hata kufuatilia habari za serikali hii huwa zinaniharibia siku, so nachaguwa kufanya mambo mengine.

Ila huyo aliyekaa hapo ni nani? Kwa mtizamo tu, ni kama anampa umbea flani. Sasa ukizingatia haya mauwaji na utekaji, halafu ukicheki hilo jamaa sijui ndo chawa, lime relax tu nadhani linamwaga umbea tu.

Lichawa linene kabisa. Limeshiba pesa zetu za kodi. Ambazo wao wanasema ni asali ya mama.

Hili naona liko kwenye mzinga wa mama kabisa limevimbiwa.🙌🏾🤦🏾‍♂️
 
Hawa mafisadi waliyaiweka nchi mfukoni mwao. Nasikia hata Lugumi huwa anafanya hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…