Wakuu JF imeingiliwa!!!

Wakuu JF imeingiliwa!!!

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Wana JF,
Kuna Hacker ameingia jamvini na tayari ameshatuma ujumbe kwa watu 33, zote zina mantiki mamoja. Ujumbe wenyewe ni huu:

Hello,
My greeting to you My name is Shania, single and never married, how are you i hope you are fine and well sounded in good health, i am a good hearten girl loving and caring humble and respectful. i would like to know more about you, please if you do not mind write me with this address (misshania99@yahoo.com)i hope to hear from you soon, because i have something very important to share with you.
Shania

misshania99@yahoo.com

Kwa hiyo tujihadhari sana. Hatua ya mwanzo mtu yeyote asijibu ujumbe wake. Pia tunamwomba MOD afanye taratibu ikiwa zipo za kuilinda JF na watu kama hawa.

<fontcolor="red">misshania99@yahoo.com

Kwa hiyo tujihadhari sana. Hatua yamwanzo mtu yeyote asijibu ujumbe wake. Pia tunamwomba MOD afanye taratibu ikiwa zipo za kuilinda JF na watu kama hawa.

Asante

mbona ujumbe wenyewe ni wa kawaida tu. labda ameona thread za kutafuta mchumba zinachosha kaamua kuja kwa style hiyo

ahsante mkuu kwa nhizo taarifa wasije wakawa wanajifunza yaleee ya wanigeria,wasenegal na waghana wanaotapeli kupitia mitandao.......................

Ina maana anatuma ujumbe kwa kutumia jina la Registered member au? Kama jibu ni ndiyo, basi anatumia jina gani?

wengine wanaomba pesa sijui wana wagonjwa nje ya nchi lakini kwa style za kipopo...nkashangaa imekuwaje humu tena kumbe tunasingizia wapopo wakati wabongo nao wamo...

asante kwa kutupa na email yake.
sasa ngoja tutacheza nae sana hapa katyi mwisho wa siku kitaeklewekatu.

Jamani hizi habari nimezipata jamvi la Mahusiano na nikaona bora nililete huku.
Kuna Hacker ameingia jamvini na tayari ameshatuma ujumbe kwa watu 33, mimi nikiwa mmoja wao,
zote zina mantiki moja. Ujumbe wenyewe ni huu:

Hello,
My greeting to you My name is Shania, single and never married, how are you i hope you are fine and well sounded in good health, i am a good hearten girl loving and caring humble and respectful. i would like to know more about you, please if you do not mind write me with this address (misshania99@yahoo.com)i hope to hear from you soon, because i have something very important to share with you.
Shania

misshania99@yahoo.com

Kwa hiyo tujihadhari sana. Hatua ya mwanzo mtu yeyote asijibu ujumbe wake. Pia tunamwomba MOD afanye taratibu ikiwa zipo za kuilinda JF na watu kama hawa.

But wakati nareply nikaambiwa kwamba amekuwa Banned so I cannot PM the guy. I guess it's now safe. Good job MODS!!

Nilishapokea pm ya hivyo nikaipotezea.
Ungeireport kwa mods.

mimi nimepata PM ikinishukuru kwa salam ambazo hata sikumbuki kuzituma na simfahamu aliyezituma (sijawahi wasiliana naye)

hii kitu inakuwaje?

Back
Top Bottom