silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,208
- 1,668
Wakuu mniwie radhi huenda nikawa sina hoja ya msingi. Ila suali langu jee Tanzania hakuna zaidi ya Majeshi. Kwa nini na walimu na wao waioneshe ubora wao katika kutoa elimu bora. Au kwa nini madaktari waioneshe utaalamu wao katika kuokoa maisha. Kwa nini zimamoto na wao wasioneshe vifaa vyao vya kukabiliana na majanga ya moto.
kila sherehe ni makomandoo tu kwa nn
kila sherehe ni makomandoo tu kwa nn