Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,409
- 2,254
Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?!
Kama ICC/ UN vile ambapo member state/ parties wanaweza kupeleka malalamiko yao yakachunguzwa, decision ikawa made, na penalty /hukumu kutolewa.....??
Kiwe na representatives wa all parties..?!!
Naongea hivi sababu nimesikitishwa na wakina Heche/Hilda kuwa harassed vile na kupigwa na police wa serikali ya CCM..
Worse, ninkuona hakuna chochote watakachofanywa waliowatendea vile, hamna sehemu ya ku report sababu hakuna faith in judiciary system wala police kwa wapinzani...
Hii inatoa loophole kwa serikali kufanya inavyotaka...
Na itaendelea kufanya inavyotaka unless kuwe na chombo kitakachowafanya wawe accountable/responsible.....
Tumeshuhudia "pattern" ya kunyanyasa wapinzani wasi exercise rights zao kama free citizens in their country...
Mfano maandamano wapinzani wakitaka kuandamana , itaanza kwa mkuu wa police amesikia " fununu" kuna wanaotaka kufanya vurugu..., itakuja " intimidation " ...' tutakuwepo kudeal na watu wanaotaka kuvunja amani ya nchi yetu' na saa nyingine mpaka rais anakuwa involved kuwa yuko " concerned" na amani ya nchi yetu zaidi...
Hii pattern imekuwa inajirudia kila wakisikia kuna maandamano, na imekuwa na " impact".. wanachadema sasa hivi tumebaki kusemea mitandaoni, tunakuwa too intimidated kuandamana...Mbowe alijikuta na mwanae na wanachadema wachache kwenye maandamano na kesi ya lissu imekuwa hivyo hivyo watu wachache ndio walikuja....wengine wanaepuka shari...
Huu ni unyanyasaji, as hakuna evidence Chadema ilipofanya maandamano kulikuwa na uvunjifu wa amani...mseme mwaka gani hapa...?!
Kuwe na chombo kitachofanya kazi in openness, justice and fairness...specific kwa wote upinzani na serikali ili wote wawe na sauti ya kureport chama kingine kwa injustice...
Hii kazi ingefanywa na mahakama au police wetu lakini wao ndio wa kwanza kunyanyasa upinzani...hatuna faith kwao anymore...tuwe na direct chombo SPECIFIC..
Vipi haiwezekani kuwe na chombo kama hiki wakuu??? Heche na wenzio demand tuwe nacho bwana...
Anita.