Wakuu hili jiko hapo Dar lipo hilo? Ceramic

Wakuu hili jiko hapo Dar lipo hilo? Ceramic

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
Kenya%20Ceramic%20Jiko.jpg
5531821338_3a7b45da20.jpg

nataka kuyatengeneza hapo Dar ili watu wayatumie kwa kupikia kwa kutumia mkaa mnasemaje?Nitapata Soko?
 
Hadi Tandale kwa Mtogole wanatengeneza tena bei poa kabisa, labda ubuni aina ingine mkuu.
 
Yapo pia msasani, near oysterbay police karibu na ubalozi wa marekani, na as u go to morocco trafic lights.
Weakness kwenye haya majiko ni durability ya hiyo bati inayotumika. Nadhani yanaliwa na moto...
 
Mkuu MziziMkavu yapo mengi sana...tatizo lake bati lake la chini linatoboka haraka sana...pili, labda awe analitumia Mtu mzima sio hawa House Girls kwani akienda kumwaga majivu atavunja pia huo Udongo....
 
Last edited by a moderator:
Yapo pia msasani, near oysterbay police karibu na ubalozi wa marekani, na as u go to morocco trafic lights.
Weakness kwenye haya majiko ni durability ya hiyo bati inayotumika. Nadhani yanaliwa na moto...

King'asti nimeikubali hiyo style ya uelekezaji lol!
 
Haya meko ni mengi sana, mkuu MziziMkavu, hata ktk masoko yanapatikana. Labda jaribu kuongezea ubunifu -- Don't reinvent the wheel, but try to make it better.
 
Last edited by a moderator:
Haya meko ni mengi sana, mkuu MziziMkavu, hata ktk masoko yanapatikana. Labda jaribu kuongezea ubunifu -- Don't reinvent the wheel, but try to make it better.
@The Pen Ok nimejaribu kuyaulizia kama yapo nilifikiri yapo tu Kenya ninashukuru sana kwa kunipa mawaza mazuri.
 
Hayo majiko ni mengi kwenye masoko na yanapatikana kuanzia 3500 tsh na kuendelea kulingana na ukubwa ila yana save sana yanatumia mkaa kidogo!
 
Back
Top Bottom