Wakuu hili jiko hapo Dar lipo hilo? Ceramic | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu hili jiko hapo Dar lipo hilo? Ceramic

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 3, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG]

  nataka kuyatengeneza hapo Dar ili watu wayatumie kwa kupikia kwa kutumia mkaa mnasemaje?Nitapata Soko?
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mbona yamejaa haya majiko. Yapo kitambo.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kwani hii picha umeichukua bangladesh ama nepal?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  @Globu yapo sehemu gani hapo Dar?

  @King'asti nimeichukuwa hiyo picha Kenya sio Tanzania.
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hadi Tandale kwa Mtogole wanatengeneza tena bei poa kabisa, labda ubuni aina ingine mkuu.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  @Likwanda wanauza bei gani huko Tandale kwa mtogole?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Yapo pia msasani, near oysterbay police karibu na ubalozi wa marekani, na as u go to morocco trafic lights.
  Weakness kwenye haya majiko ni durability ya hiyo bati inayotumika. Nadhani yanaliwa na moto...
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mbona yapo longtime tu...duuh rudini nyumbani mambo mengi yamebadilika!
   
 9. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Duh !!!!! Mkuu upo mamtoni robo karne nini? Haya yana zaidi ya miaka 15 bongo.
   
 10. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .

  [​IMG]
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha.....mke mwenza bana lol.....ameichukua Uholanzi!
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  bora hata umeuliza
  kuliko ungekuja umekurupuka mwenyewe ukifikiri
  unakuja na bonge la bussiness idea bongo lol
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Serious MziziMkavu ina mana hujui kuwa hayo majiko yapo Tanzania?.....au umeamua kutuchekesha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Bora MadameX umesema, buni kitu kingine utapata soko, walishawahi wezio.
   
 15. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu MziziMkavu yapo mengi sana...tatizo lake bati lake la chini linatoboka haraka sana...pili, labda awe analitumia Mtu mzima sio hawa House Girls kwani akienda kumwaga majivu atavunja pia huo Udongo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  King'asti nimeikubali hiyo style ya uelekezaji lol!
   
 17. s

  strong lady Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Du hayo majiko ni ya zamani mpaka siku hizi wametoa new model yake udongo tupu bila bati imara sana
   
 18. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haya meko ni mengi sana, mkuu MziziMkavu, hata ktk masoko yanapatikana. Labda jaribu kuongezea ubunifu -- Don't reinvent the wheel, but try to make it better.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,612
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  @The Pen Ok nimejaribu kuyaulizia kama yapo nilifikiri yapo tu Kenya ninashukuru sana kwa kunipa mawaza mazuri.
   
 20. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hayo majiko ni mengi kwenye masoko na yanapatikana kuanzia 3500 tsh na kuendelea kulingana na ukubwa ila yana save sana yanatumia mkaa kidogo!
   
Loading...