Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Feb 24, 2023 #21 Gily said: Haha we andika tu Chakorii ila punguza ukali wa maneno tu lisije kuwa povu😬 Click to expand... Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪 Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓
Gily said: Haha we andika tu Chakorii ila punguza ukali wa maneno tu lisije kuwa povu😬 Click to expand... Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪 Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Feb 24, 2023 #22 spidernyoka said: Kwetu sisi kawaida labda sabab ya setting pia kuitwa chief kuita mtu chief ni rahisi na vizuri zaid tunatumia prefix za professional basi haina shida Click to expand... Kila kitu ni mazoea ujue best
spidernyoka said: Kwetu sisi kawaida labda sabab ya setting pia kuitwa chief kuita mtu chief ni rahisi na vizuri zaid tunatumia prefix za professional basi haina shida Click to expand... Kila kitu ni mazoea ujue best
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Feb 24, 2023 #23 Chakorii said: Kila kitu ni mazoea ujue best Click to expand... Sure
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,078 Reaction score 25,050 Feb 24, 2023 #24 Chakorii said: Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪 Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓 Click to expand... 😊😊 toast darasa wengine waelewe. JF ni sehemu ya kujifunza Kuna wanafunzi wengi sana safari hii
Chakorii said: Hivi kumbe ninamaneno makali ee🤪🤪 Hapana sitoandika.ni vitu vya umuhimu nikiandika hapa maswali yatakuwa mengi na mimi sipo tayari kujibu swali lolote🤓 Click to expand... 😊😊 toast darasa wengine waelewe. JF ni sehemu ya kujifunza Kuna wanafunzi wengi sana safari hii
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,347 Reaction score 56,075 Feb 24, 2023 Thread starter #25 Kipangaspecial said: Mtu akiitwa mama , wewe inakuuma nini au na wewe unataka kuitwa mama ? Click to expand... 'Incompetent' utawajua tu
Kipangaspecial said: Mtu akiitwa mama , wewe inakuuma nini au na wewe unataka kuitwa mama ? Click to expand... 'Incompetent' utawajua tu