Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,244
- 55,832
Mama yupo kaziniBosi akiwa mwanamke, wafanyakazi wakiume na wengineo wanakuwa wanamuita mama, badala ya kumpa heshima yake kwa kumuita bosi; ila bosi akiwa wakiume, ataitwa bosi na si kuitwa baba.
Kwa mtazamo wangu, mi naona hawa wanaoleta mahusiano ya kuitana mama katika maeneo ya kazi, huku wamama zao wazazi wakiwa huko kwingineko inakuwa haina tija, zaidi ya kutafuta huruma katika utendaji wa kazi; au inawezekana wakawa ni 'incompetent' wakitegemea kuishi kazini kwa huruma ya bosi wao.
Wakuu, hii mnaionaje?
Kwetu ni mwendo wa majina tu muda hautoshi.Nyieee
Kumuita mtu boss sio kazi nyepesi..
Yan ED pekee ndio namuita Mkurugenzi.
Waliobaki ni mama, dada, na kuna mama boss mmoja namuita madam/ mama
Wa size tumezoea kuitana dear/ jina lake
Kuna baba mtu mzima namuita mkwe/ docta sbb ni dokta.
Mimi kila mtu namuita boss hadi boss ananunaKwetu ni mwendo wa majina tu
Kwakweli Kwa upande wangu ni hapana.Mimi kila mtu namuita boss hadi boss ananuna
Hamuitani da flani kwa aliyekuzidi sana af ana cheo?Kwetu ni mwendo wa majina tu muda hautoshi.
Hii idara inakuwa na utaratibu wa kimataifa snaa๐๐hatari tupu
Kwetu sisi kawaida labda sabab ya setting pia kuitwa chief kuita mtu chief ni rahisi na vizuri zaid tunatumia prefix za professional basi haina shidaKwakweli Kwa upande wangu ni hapana.
Sir,Maโam na majina husika.
Na hiyo Sir sijui makitu gani huko ni ya kutafuta kwa tochi sana
Kuna kitu nilitaka kuandika ๐๐Bos kwa kizungu anaitwa " Mom' au "Madam". Kiswahili chake ni "Mama" Acha kuwaza sana
Wamarekan sometimes wanaita "maam" au "mam". Simple haimanishi mama wa nyumbani. .
Dada hiyo vipi shoooโฆhakunaga hiyo kitu.Hamuitani da flani kwa aliyekuzidi sana af ana cheo?
Mtu akiitwa mama , wewe inakuuma nini au na wewe unataka kuitwa mama ?Bosi akiwa mwanamke, wafanyakazi wakiume na wengineo wanakuwa wanamuita mama, badala ya kumpa heshima yake kwa kumuita bosi; ila bosi akiwa wakiume, ataitwa bosi na si kuitwa baba.
Kwa mtazamo wangu, mi naona hawa wanaoleta mahusiano ya kuitana mama katika maeneo ya kazi, huku wamama zao wazazi wakiwa huko kwingineko inakuwa haina tija, zaidi ya kutafuta huruma katika utendaji wa kazi; au inawezekana wakawa ni 'incompetent' wakitegemea kuishi kazini kwa huruma ya bosi wao.
Wakuu, hii mnaionaje?
Wanaopenda kuita ita boss mara nyingi wana tabia za uchawa.Mimi kila mtu namuita boss hadi boss ananuna
Inawezekana ila kwangu boss haimanishi unavowaza wewe ndo mana nmekwambia naita yoyoteWanaopenda kuita ita boss mara nyingi wana tabia za uchawa.