wakuu hii external imekaaje? Solution?

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
ni external ya 500gb. Ndani ilikuwa na vitu but now nikiweka haina inachoonesha,yaani contents zake hazionekani na nikiingia properties inaonesha kuwa ina vitu kwa ndani. Tatizo lilianza nilipoipachka kwa pc ya mtu hakuwa na antivirus.je kuna soln nyingine tofauti na kuformat? Asante
 
ingia kwenye command promt.start-->run-->type cmd-->enter,andika
attrib -s -h /s /d *.* enter.
 
mkuu unapaswa kuuliza hii command inafanya kazi gani unless unaijua vinginevyo utajikuta unaua machine yako bure, maana unapotumia command umakini wa hali ya juu unahitajika

Yap, pitia hii url mtoa mada kupata maelezo, if it doesn't work try ds one. Imentokea mara nyingi sana hii kwenye Disk yangu and this always solved it japo Size kubwa inatake time kidogo kuyarekebsha.
TechsTrick: How to solve Folders Showing as Shortcuts, Hidden in USB/Memory-Card/HDD
attrib+command.jpg
 
dowload a certain program inaitwa combofix i had same problem ikasolve just run it ni kijiprogram kidogo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom