Wakuu,heslb imeachia mikopo,kupitia "olas"

Wakuu,heslb imeachia mikopo,kupitia "olas"

Heslb imeachia...but sasa hivi haifunguki, sababu server yao imezidiwa. So kuweni na subira, na muwe mnajaribu kufungua fungua.
 
navoju mm yukiona link haifunguki we jua tuu mtandao/website iko overloaded na kama unatumia kiofaa hafifu ndo kabisa haitafunguka. mm nkiona cm au pc yangu yaniozingua huwaga nazama internet cafe maana zao ziko faster yan hakuna shida kabisa cjui ni kwa sabab nying wanatumia wi fi
 
Server zko bze zkitulia utaweza kuona kupitia profile yako..
 
hafunguki

Watanzania wote tulioomba mkopo tunahitaji kuona kwa sasa so server iko very busy, mimi binafsi bado sijaona nakusihi nawe ndugu yangu punguza presha tutaona tu kama yamo yamo tu.
 
Nimeandikiwa hivi jamani ,ndo nimekosa mkopo ama???
 

Attachments

  • 1446265116435.jpg
    1446265116435.jpg
    28.5 KB · Views: 928
Back
Top Bottom