Kelvin A. Mtoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 208
- 187
Website haifunguki, msaada plz
Faculty ni priority/non?
Ni priority ,Bsc wildlife management, sua mkuu.
Naona bado wana process hivyo vutasubira,wengi wameandikiwa ivo.
Sijakusoma mkuu, ndo umejibu swali au???
relax...ingia badaae system ikiwa poa kabisa ili upate uhakika.
Mmh uhakika wa kukosa heheh poa poa mkuu, damu chafu hizi aka za kunguni
Wakuu hakuna yeyote aliyeingia akapata % kadhaa atuletee mrejesho isije ikawa ni maandalizi tu!?
Mmh uhakika wa kukosa heheh poa poa mkuu, damu chafu hizi aka za kunguni
mkopo kama zali tu mkuu...mie nililambaga kama utani..sema tu bum halkai mkuu haha.
Wapo mi jamaa yangu kapata hivi
je kutokana na mgao huo, kweli meals imeengezeka? maana nakumbuka ilikuwa ni 7500/day na tuliambiwa itafika hadi 8500/day katika kuanzia huu.
mmmh!! 7500 yenyewe nikwa manati sembuse 8500
dah!!!! mwenzenu nimekesha nikiangalia kwenye PC sijafanikiwa kabhisa.... nikahisi labda network getto kwangu ndo inazingua, ila nimekuja tena hapa internet cafe bado hali ni hile... wenzangu nyie mumefanyaje????