Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Wakuu habari, naomba niruke jumla jumla.
Naomba kufafanuliwa wakati ukipigwa mziki kuna vyombo hutumika kuupiga huo mziki, mfano kuna ngoma au drum, kuna gitaa, kuna kinanda, kuna tarumbeta, kuna filimbi, kuna vitu vingine vingi vinavyohusika kwenye huo mziki.
Naombeni ufafanuzi wenu ni chombo kipi kinachochochea mtu kucheza mziki?