illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,119
Binafsi naitamani sana kazi ya polisi nimejaribu kwenda mara kadhaa na kuambiwa kuwa hawaajiri watu wenye ulemavu wa aina yoyote ile sasa nashangaa kanda maalum mheshimiwa Kova kwa jinsi macho yake yalivyo au labda aliumia kazini lakini pia kuna huyu jamaa kaimu kamanda wa kikosi cha usalama barabarani ndugu Kahatano ambaye yeye anaongea kwa kigugumizi nani anayejua nisaidie?