Wakuu hawa walijiunga vipi na jeshi ?

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,117
Binafsi naitamani sana kazi ya polisi nimejaribu kwenda mara kadhaa na kuambiwa kuwa hawaajiri watu wenye ulemavu wa aina yoyote ile sasa nashangaa kanda maalum mheshimiwa Kova kwa jinsi macho yake yalivyo au labda aliumia kazini lakini pia kuna huyu jamaa kaimu kamanda wa kikosi cha usalama barabarani ndugu Kahatano ambaye yeye anaongea kwa kigugumizi nani anayejua nisaidie?
 
binafsi naitamani sana kazi ya polisi nimejaribu kwenda mara kadhaa na kuambiwa kuwa hawaajiri.watu wenye ulemavu wa aina yoyote ile sasa nashangaa kanda maalum mheshimiwa Kova kwa jinsi macho yake yalivyo au labda aliumia kazini lakini pia kuna huyu jamaa kaimu kamanda wa kikosi cha usalama barabarani ndugu Kahatano ambaye yeye anaongea kwa kigugumizi nani anayejua nisaidie?

una ulemavu wa nini?
 
mambo haya wanayiweza kujibu ni wao wwnyewe lakin pia nawe unaweza uliza kwa mamlaka husika ujue tafris yao juu yabulemavu
 
Back
Top Bottom