Mtwara gold inapatikana eneo gani au wilaya ipiEnyi viongzi wa hii mikoa mjitathimini mlale mkiota masoko ya dhahabu na madini mengine
Mbeya-chunya(gold,)
Tabora- soma hiyo(gold)
Kahama-(gold,almasi)
Geita-(gold, tayari lipo
Kigoma-(limestone,copa,galena)
Mpanda-(gold,copper)
Mtwara-gold,limestone,gypsum)
Musoma-(gold)
Mwanza-(gold,almasi)
Shinyanga-(gold,almasi)
Singida-gold,gypsum,copa,zircon
Songea-(gold,saphire pink
Handeni-(gold,spinel,rubi
Tunduru-Saphire blue,yellow,spinel,rubi
Huu mkoa mpya?Shimiyu
Labda alitaka kumaanisha chumviMtwara gold inapatikana eneo gani au wilaya ipi
Hahahahahahaha mi najua gold Lindi kule namungo kwa waziri mkuuLabda alitaka kumaanisha chumvi
Mtwara gold inapatikana eneo gani au wilaya ipi
So sad ona gold ilivyotawala hapo ,vijijini kuna watu hawana maji safi