Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika Ineed somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika yake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.