Utazaa kwa uchungu!

Utazaa kwa uchungu!

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
2,035
Reaction score
3,662
Wakuu...
The LORD is good!!!

Baada ya
Adam na Hawa kula tunda MUNGU alitamka kwa
Hawa kwamba atazaa kwa uchungu, kuna makala niliisoma
BBC kuna mwanamke anafanya kazi ya kubebea wengine ujauzito....

Yani wanachukua mayai ya mwanamke na mbegu za mwanaume, wanamuwekea huyo mwanamke kitoto kinatungwa!

Je. Ni sawa wanawake kutumia njia hii?
 
Back
Top Bottom