mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
NAOMBA MNISAIDIE UFAFANUZI HUENDA LABDA SIELEWI HAYA MAMBO.NINA KIBIASHARA CHANGU NILIFUNGUA ILI NIWEZE KUJIKIMU NA NISIPIGE DEAL TENA SASA ZILE FRAME ZINA MGOGO BAINA YA WAMILIKI TUNAJUA NA HUA WANATU UPDATE KILA MARA JITIHADA ZAO ZA KUMALIZA MATATIZO.SASA KIPINDI CHA LIKIZO NDEFU NIKASEMA HEBU NIPITE NIANGALIE CHA KWANZA NILITAKA KUJUA KAMA TUKO SALAMA UPANDE WA VIBALI NIKAAMBIWA AFISA BIASHARA KINONDONI ALIENDA NA KUCHUKUA LESENI KWA MADAI KUA ANAENDA KUIANGALIA UPYA UHALALI WAKE MAANA ENEO LILE LINA MGOGORO JIRANI YANGU YE ALIGOMA KUTOA YAKE LAKINI PALE AMECHUKUA LESENI MBILI.ILINIUMA SIJAJUA HUUU MGOGORO UNA UHUSIANO GANI NA YEYE KUJA KUCHUKUA HIZO LESENI....? LAKINI PIA TUNAPOJARIBU TUE WAAMINIFU NA TUFANYE KAZI ILI TULE KWA JASHO WAPO AMBAO WANAJARIBU KURUDISHA NYUMA KILA JITIHADA TUNAZOFANYA,KAZINI TUNATUMBUANA,HAYA HUKU MAGENGENI NAPO MNATUFATA PAMOJA NA KUA TUNALIPA USHURU MWINGI LAKINI BADO MAZINGIRA YETU YA BIASHARA NI MAGUMU NA WASI WASI.NAOMBA NIELEKEZWE HILI LA HUYU AFISA BIASHARA MAANA NAJISIKIA KUMLA NYAMA TENA AKIWA MMBICHI.