Wakusoma

Nani akae dodoma wewe? tatizo lako na ufinyu wa akili /uelewa wako ww unajua kila JF member ni MTZ.

mimi sio hao ulio wazoea. nakupiga ban mwenyewe.pumbavu. ova
 
kaandika ktk jukwaa hili hili.NAOMBA MSAMAHA JAMANI.

kwanini asiombe msamaha hapahapa? Ama kwa vile amepewa ushauri wa pembeni aanzishe thread ya kuomba msamaha? Mleteni hapa.ha ha ha.
 
kwanini asiombe msamaha hapahapa? Ama kwa vile amepewa ushauri wa pembeni aanzishe thread ya kuomba msamaha? Mleteni hapa.ha ha ha.

we vipi? kama hutaki kunisamehe achana na mimi na usinifuatilie
 
mimi sio hao ulio wazoea. nakupiga ban mwenyewe.pumbavu. ova

Soma JF rules wewe. Ni marufuku kumtisha mwanajamvi mwenzako hapa nikikuripoti wanakupiga IP bann.
 
Wakusoma haya ndo mambo unayoyafanya humu.

wakusoma embu geuka nikuone usoni siamini kabisa kama umeshusha nnya nzito kiasi hicho bila kukunja sura au chozi kukutoka. Nilitegemea ungejifungua kwa upasuaji lakini lol! Umesukuma wee mpaka umemaliza bila tatizo.
 
kajifunguwa lakini mtoto si rizki

hahaha! Watoto wa mlango wanyuma huwa wapo hivyo hivyo. Mwenzie elton john alimtoa na kumkuzia kwenye chupa yeye akajidai mjanja imekula kwake hata kwenye msiba hatuendi.
 
kajifunguwa lakini mtoto si rizki

wenzake wanakuzia watoto maabara yeye kajiona mjanja.hayo ndo malipo yake mie nimejitole kumpa zawadi ya nepi ya gunia na mbeleko ya turubai ili awe anambebea mwanae huyo.
 
Ile photo katoa nani? Ni mods au? Ina maana wanafurahia anachofanya huyu dogo?mbona malaria sugu alikuwa anafanya vurugu kule jukwaa la siasa wakampiga ban ya maisha? Huyu mbona wanamwendekeza sana? Au MODS wa hili jukwaa anafurahia mabishano ya hapa na jazba na matusi yanayotolewa humu kwa sasa sababu ya mtu mmoja? MODs LITAZAMENI HILI KWA JICHO PANA,msije kutoa ban kwa member sababu ya mtu mmoja asiyesikia.
 
Ila Excelent na Nduu mmemwandama sana wa kusoma,dah mtamfanya apotee aisee.Alishaomba msamaha....
hahahahaaaaaa wakusoma anachafua mazingira.:embarassed2:
 
Ila Excelent na Nduu mmemwandama sana wa kusoma,dah mtamfanya apotee aisee.Alishaomba msamaha....
hahahahaaaaaa wakusoma anachafua mazingira.:embarassed2:

aliomba msamaha but hakuwa serious ,kwani post yake aliandika vizuri content yake ndani,baada ya watu kuichangia kesho yake akaedit akaandika upuuzi, na bado anaendelea na matusi humu,soma post anachochangia humu hata baada ya kuomba msamaha,hivyo usifikiri tunamwonea. Hili jukwaa halikuwa hivi mwanzon,ilikuwa ni amani tupu,lakini sasa limegeuka ni sehemu ya malumbano kama vile chit chat.
 


Ni kosa kubwa kumshawishi modes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…