Dah! Kijana kazi unayo,badilika tu uwe na matendo ya kiungwana na yote yatakwisha.Jamani sasa mnanitafuta si nilikwishaomba msamaha na watu mkasema yameisha? Sasa uchokozi tena huu wa nini?
yale yale anayarudiaDah! kama alishaomba msamaha msameheni jamani.
Hivi ndivyo Wakusoma anavyochafua hali ya hewa JF
View attachment 43520
Jamani sasa mnanitafuta si nilikwishaomba msamaha na watu mkasema yameisha? Sasa uchokozi tena huu wa nini?