Wakushi naomba msaaada.

professional ethics

Senior Member
Joined
Dec 24, 2023
Posts
108
Reaction score
350
Wakuu natanguliza shukrani na heshima kwenu.

Nahitaji kibali yaani favor Toka kwa afisa fulani kwenye ofisi moja hapa jijini, lakini mazingira naona ni magumu, naona kama jambo langu halitapata kibali mbele ya ofisi hiyo. Mana sio mara ya kwanza kutokusikilizwa kwenye ofisi hiyo

Hivyo nimekuja kwenu wakushi wenzangu kama Kuna mtu yeyote anaefahamu ukushi wa kupata kibali au kukubalika mbele ya mtu au mamlaka fulani naomba anisaidie
 

Kuwa smart tu upstairs
Dress decent

Consider hair cut

Be smart enough about ur career

Apply Low of Attraction or use vision Bord or Visualization.

Mantain high profile

Kubwa kuzidi yote hakikisha unajua unahitaji nini katika MAISHA Kama hauna content kaa kimya usiongee wala kuandika.
 
Nani Mkushi....!

Adabu..adabu Kijana.! Hishma kitu cha Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…