Wakurya na Wajita tofauti yao ni ipi?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Wakuu....Tofauti ya Wakurya na Wajita ni ipi mbona kama wanafanana tu?

Hata ukaazi wao wengi wanapenda kuishi ukonga banana kivule na Kitunda

Au tofauti na kilugha?

Vipi kabila la Wakwaya?
 
Back
Top Bottom