britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 18,050
- 46,632
Sure.Ubabe wakawaida umeisha kwahiyo wameamua kuroga sasa
Kazi sana ndiyo maaana wakioa kabila jingine mke anapata shida sanaSure.
Kazi sana ndiyo maaana wakioa kabila jingine mke anapata shida sana
Kule Challa,Kipili na Kirando uchawi siku hizi umeisha?Tukiwashauri watu waje kufanya kazi Rukwa wanasema wafipa wachawi,huo ujinga wanaofanya wakulya, rukwa huwezi kuuona.Karibu watumishi ufipani
Wakurya ni kama mbuzi tu. Ukiongea na mkurya na kupeana ahadi ni ksma umrongea na mbuzi. Shithole tribe
Ulishabaki zilipendwa,kama ni kulogana ni wawo kwa wawo lakini si kwa mtumishi mkuu