Wakurugenzi wapya walioteuliwa wameagizwa kufika ikulu na nakala zao halisi vyeti vya kitaaluma

Hata huyu FaizaFoxy kwenye awamu hii alikumbuka ngoja wakati wa kupeleka CV zao
Kama watu hawa wanapaswa kuwa na sifa fulani, mbona nafasi zao hazikutangazwa tuapply?

Yaani kuteuana mteuane kisiasa, lakini appointment ndio iambatane na mbwembwe za vyeti, huu ni mpango wa kuhakikisha kina Lizaboni wanaiona CCM si yao tena
 
Wa ulanga atapeleka certificates of attendance...nina uhakika pia vyeti vyake vya post graduate vimetulia...ila management capabilty ni naogopa kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…