Wakurugenzi wapya walioteuliwa wameagizwa kufika ikulu na nakala zao halisi vyeti vya kitaaluma

Mpaka mtu unafaa na kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri, Serikali haijawahi kuona Original certificate zake, sasa kama vililiwa na panya mamlaaka ya uteuzi inafanya uteuzi upya, hii ndiyo serikali ya kubana matumizi.
Sisi watumishi wa umma tunaposoma habari hizi zinatupa kichefuchefu haijawahi kutokea, kila mtu anaogopa kushauri kwa usahihi kwa kuogopa kutumbuliwa yetu macho!
 
Mungu epushia mbali! Kama wengine hawana vyeti inakuaje? Waliovipoteza na kwenye system ya shule/vyuo walivyosoma hawapo inakuaje? Lengo la kuhakiki ni lipi? Kwamba wanataka wasomi tu? Kama ndivyo mbona hawakufanya zoezi hilo kabla? Je ni bora cheti wanahitaji cheti bora kinachoendana na nafasi husika? Tujuzeni mnaojuwa!
 
2591f75d47a6f20e80d073c662104a22.jpg

Hii barua imetiwa sahihi
165d8220ab84b19f2c265a5b262f0b93.jpg

Hii haijatiwa sahihi.

Naomba kujua je kuna uhalali wa kutoa barua au tangazo la ikulu bila sahihi?
 
Ni udhaifu ulikithiri kuitasha nakala halisi za vyeti siku ya uapishwaji. Msigwa unapwaya sana kutoa taarifa zenye kukosolewa namna hii ni kama Ikulu nzima mnatumia ubongo wa mtu mmoja!
 
Wamebadili lugha baada ya kuchekwa. Kumbuka DAS waliambiwa walete CV zao . Hii inaonyesha wateule hata hawajulikani. Sijui nani kawapa hayo majina.
 
vipi TBC watakuwa LIVE?

TBC pamoja na kuwa na a modern OB bado uletaji wao matabgazo ya nje una walabkini sa.na dijui kwa nini? Hawajui kutumia vombo/mitambo na kamera au nini, je, hawajui kijipanga jinsi ya kuleta matangazo wakiwa nje ya studio au?
 
Back
Top Bottom