Wakurugenzi wapya walioteuliwa wameagizwa kufika ikulu na nakala zao halisi vyeti vya kitaaluma

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,560
Wana JF.
Utawala huu utavunja rekodi kwa kuteua wakurugenzi bila kuangalia vyeti vyao vya kitaaluma badala yake siku ya kuapishwa ndo vyeti vyao vitakaguliwa ikulu.
IMG-20160709-WA0033.jpg
 
Hata huyu FaizaFoxy kwenye awamu hii alikumbuka ngoja wakati wa kupeleka CV zao
Kama watu hawa wanapaswa kuwa na sifa fulani, mbona nafasi zao hazikutangazwa tuapply?

Yaani kuteuana mteuane kisiasa, lakini appointment ndio iambatane na mbwembwe za vyeti, huu ni mpango wa kuhakikisha kina Lizaboni wanaiona CCM si yao tena
 
Wa ulanga atapeleka certificates of attendance...nina uhakika pia vyeti vyake vya post graduate vimetulia...ila management capabilty ni naogopa kusema
 
Back
Top Bottom