Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 2,064
there is a clear bolded line unaotenganisha Chama Tawala na serikali hususan katika utekelezaji wa masuala ya kiserikali. sio jukumu langu kukufundisha juu ya huo mstari. wengi wanajua ila ni ulevi wa madaraka tu. zipo njia za kisheria na kikanuni za kupima utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama kilichoshinda lakini kuita watendaji/waajiriwa wa serikali katika vikao vya ndani vya kichama si njia mojawapo. pengine kwa sasa mtu anaweza asione tatizo ila kuna siku ataliona tatizo na madhara ya ku-politicize utumishi wa umma.
Hawana madiwani & wawakilishi kwenye vikao vya halmashauri?Watajuaje kama ilani yao inatekelezwa bila kupewa taarifa.
NAULIZA JE NCHI TUNAFANYA MAENDELEO KWA SERA ZA CHAMA? MBONA SIKU ZOTE INAPOTOLEWA BAJETI YA SERIKALI HAISEMWI KYWA CHAMA KINATAKA PESA KIASI FULANI ILI KUTEKEZA SERA ZA CHAMA ? MBONA WATENDAJI KAZI KATIKA SEKTA MBALIMBALI NDIO WANAOANDAA MAHITAJI YAO KWA KILA MWAKA KUENDELEZA SEKTA ZAO NA HAWAFIKIRII CHAMA CHOCHOTE KTK KUTAYARISHA BAJETI ZAO?hapa ndipo nashindwa kuelewa.Watajuaje kama ilani yao inatekelezwa bila kupewa taarifa.
NAULIZA JE NCHI TUNAFANYA MAENDELEO KWA SERA ZA CHAMA? MBONA SIKU ZOTE INAPOTOLEWA BAJETI YA SERIKALI HAISEMWI KYWA CHAMA KINATAKA PESA KIASI FULANI ILI KUTEKEZA SERA ZA CHAMA ? MBONA WATENDAJI KAZI KATIKA SEKTA MBALIMBALI NDIO WANAOANDAA MAHITAJI YAO KWA KILA MWAKA KUENDELEZA SEKTA ZAO NA HAWAFIKIRII CHAMA CHOCHOTE KTK KUTAYARISHA BAJETI ZAO?hapa ndipo nashindwa kuelewa.
Ukiangalia hili kwa undani, hali ya kisiasa nchini, na mwenendo wa utawala wa Serikali hii; utaona kuwa kuna mkakati wa nchi kurudishwa ktk mfuni wa chama kimoja na chama kushika hatamu.
Vv
nimekuelewathere is a clear bolded line unaotenganisha Chama Tawala na serikali hususan katika utekelezaji wa masuala ya kiserikali. sio jukumu langu kukufundisha juu ya huo mstari. wengi wanajua ila ni ulevi wa madaraka tu. zipo njia za kisheria na kikanuni za kupima utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama kilichoshinda lakini kuita watendaji/waajiriwa wa serikali katika vikao vya ndani vya kichama si njia mojawapo. pengine kwa sasa mtu anaweza asione tatizo ila kuna siku ataliona tatizo na madhara ya ku-politicize utumishi wa umma.
wao ni wanasiasa?Ni sawa kabisa maana wao wako pale kufanya kazi ya serikali ambayo inaongozwa na chama cha mapinduzi...sasa kuna ubaya gani wao wakitoa taarifa hapo?
Soma post #13.Ni sawa kabisa maana wao wako pale kufanya kazi ya serikali ambayo inaongozwa na chama cha mapinduzi...sasa kuna ubaya gani wao wakitoa taarifa hapo?
Kwani wanatekeleza ilani ya chama gani? kwani wanaccm sio watu au sio watanzania?
Umenena vemaTatizo la awamu hii wateule wengi ni wapya na hawajui majukumu yao. Ndio maana DC anamsimamisha kazi Mwenyekiti wa Kijiji! Mwingine kamfunga Diwani kama mtendaji wa kata na vijiji! Tangu awamu ya Mwalimu mpaka ya nne taarifa ya utekelezaji ilani ya uchaguzi imekuwa ikitolewa. Wawasilishaji kwenye vikao ni DC, RC, PM.