Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 2,064
Hii imetokea Mtwara ambapo wakurugenzi wa Halmashauri walikuwa kwenye vikao vya chama ambapo walitoa taarifa za utendaji wao. miongoni mwa taarifa walizotoa ni kufungwa kwa soko la ununuzi wa korosho. source TBC
Binafsi sijaelewa kama wakurugenzi ni wanasiasa au watumishi wa umma? Mbona serikali hii inafanya mambo kinyemelanyemela? sasa kama wakiwa sehemu ya wachangia Sera kwenye chama wataweza kusimamia chaguzi kwa haki? Tume ya uchaguzi inatakiwa kutoa onyo otherwise iwaamuru kuhudhuria vikao vya vyama vyote na watoe taarifa equally

there is a clear bolded line unaotenganisha Chama Tawala na serikali hususan katika utekelezaji wa masuala ya kiserikali. sio jukumu langu kukufundisha juu ya huo mstari. wengi wanajua ila ni ulevi wa madaraka tu. zipo njia za kisheria na kikanuni za kupima utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama kilichoshinda lakini kuita watendaji/waajiriwa wa serikali katika vikao vya ndani vya kichama si njia mojawapo. pengine kwa sasa mtu anaweza asione tatizo ila kuna siku ataliona tatizo na madhara ya ku-politicize utumishi wa umma.