Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
- Thread starter
- #21
mkuu Xuma Hizo nchi ulizozitaja hazina Maslahi na Tanzania ndio maana haendi huko kufuata kitu gani?Samahani mkuu, nachojua mimi Tanzania ni nchi isyofungamana na upande wowote! swali kwa nini sijasikia Jakaya katembelea nchi zifuatazo Afghanistan, Iraq, Pakistan, Syria, Lebanon, Israel, Cuba, Venezuela, Madahascar, Iran, DRC, Bulgaria, Czech, Uzbekistan etc. hta Burundi na Rwanda kwa nini???????????
Last edited by a moderator: