Wakulungwa Pokeeni Taarifa Kutoka Kwa Mkemia Mkuu Wa Serikali

Maana yangu ni kwamba kuna idadi kuwa ya upigwaji...upigiwaji 🤔
Hakika na viashiria vya kupigwa huo vipo tatizo huwa ni tangible proof wachache wenye uwezo na uelewa ndio wanaenda kwenye DNA tofauti na hapo wengi tunalea watoto wa mababa wengine..
 
Kawaida, mtu hadi anaenda kupima maana yake ana wasiwasi. So wakienda kupima watoto 100 na 49 wakakutwa ni wa baba mlezi, ni asilimia 49 hiyo.
 
Hakika na viashiria vya kupigwa huo vipo tatizo huwa ni tangible proof wachache wenye uwezo na uelewa ndio wanaenda kwenye DNA tofauti na hapo wengi tunalea watoto wa mababa wengine..
Wengine tunatumia alternative way, tutajua tu kama tumeibiwa au lah!
 
warahisishe tu zoezi la DNA iwe kama kununua bidhaa tu dukani...hii italeta heshima...watu wakipimana wakamwagana wengine watajifunza....
 
Hii sio taarifa nzuri hasa kwa wenye ndoa zenye migogoro isiyoisha
 
Back
Top Bottom