Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 789
- 4,637
Habari ya mda huu wanabodi!
Natumai munaendelea vizuri kujikinga na kuchukua tahadhari juu ya covid-19.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa nikisikia kutoka humu jukwaani msemo unaoashilia jina ama kikundi cha watu "mkulungwa" au "wakulungwa"
Yeyote mwenye uwelewa juu ya maana ya maneno haya "MKULUNGWA" au "WAKULUNGWA" tufahamishane tafadhali.
kama hujaelewa soma comments.