Wakulima wagomea bei ya Korosho

Hapo ulipo nsonyo wote upo wazi, wageni wanapita tu
 
Wakulima wa Korosho watendewe HAKI.
Nani awatende haki.???

Waziri kaja na pdf ndefu ya bei kwa nchi zingine zinazozalisha korosho afrika zikiwa low price compare na tz ili kuwaaminisha kuwa wanakataa bei nzuri.

Naona wamewageuza wakulima matoy.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika
 
Mbona mkulima wa mahindi naye anauza gunia 70,000 wakati kipindi cha Magufuli aliuza hadi 10,000

Bei za mazao zinaamuliwa na soko sio Rais, acheni uzezeta
Kijana kuna siku utakuja jua huna akili na hujui nini kinaendelea dunia bii, wakati wa. Mheshimiwa mahindi yalizuiliwa kutoka nje ili yatumike hapa ndani ndio maana yalikuwa hayapandi bei na sababu ni mazao ya chakula na hii ilikuwa faida kwa taifa fara wewe
 
Wewe ni bumunda, hujui lolote, kama huwezi kununua kalime
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
hotuba zenu za hovyo hatuzitaki na hazisaidii
 
"...Nyinyi hamjajua tu mambo yamebadilika.." JPM kikao na wafanya biashara wa Korosho juu ya bodi 2018
 
12 November 2022


Wakulima wa korosho mkoani Mtwara wamekubali kuuza korosho zilizokusanywa wiki hii zaidi ya tani 10,000 kupitia minada ya korosho iliyofanyika wilayani Newala na Mtwara kwa bei ya juu ya shilingi 2,012 na bei ya chini shilingi 1,850 huku tani 900 zikisalia ghalani baada ya baadhi ya wakulima kukataa kuuza kwa bei hizo

Source : Azam TV
 
Wakulima wakorosho sasa wapambane na hali zao..hakuna wakuwatetea..viongozi wao ndio madalali wa korosho.

#MaendeleoHayanaChama
 

Korosho za Tanzania hatimaye zapigiwa chapuo Marekani,


More info :
The eight-tonne cargo of processed cashew nuts was dispatched to New Orleans, Louisiana USA

WHT President Godfrey Simbeye described the occasion as a “historic moment of cashew nuts grown, harvested, and consumer-packaged in Tanzania being exported directly for the first time from farmers in Tanzania to the US marketplace”.
 
Wakulima wakorosho sasa wapambane na hali zao..hakuna wakuwatetea..viongozi wao ndio madalali wa korosho.

#MaendeleoHayanaChama
Aliyaharibu hilo zao ni MAGUFULI, wanunuzi wameopt kwenda nchi kama Togo, Msumbiji nk TZ wanasema hakuna uhakika wa biashara maana serikali inaingilia na hiwa na sera ambazo hazieleweki na hubadirika kutokana na Rais aliyepo madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…