Wakulima wagomea bei ya Korosho

Wakulima wagomea bei ya Korosho

Aliyeharibu zao la korosho ni Jiwe
Huu ni msimu wa pili toka jiwe ondoka..sasa mbona mambo yanazidi kudorora.

Korosho imeharibiwa na walamba asali..viongozi wa kusini wengi ni madalali wakubwa wa korosho.

Jiwe alijaribu kuwafunga speed gavana..sasahivi hayupo wanajipigia tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jiwe aliharibu sana
 
Jiwe aliharibu sana
Jiwe aliharibu vipi na wapi?mana toka aingie madarakani ndio korosho ilipanda bei sana..kumbuka msimu wa 2016/2017 korosho ilifika hadi 4000tsh kwa kilo...je lini katika historia ya nchi hii korosho ilishawahi kufika bei hiyo.?

Acha kuwa na akili za kushikiliwa toa sababu za kwanini aliharibu..wewe mzee wa choma choma na kangomba.

Jiwe aliharibu kila chanzo cha mapato kwa wananchi
 
Kama Tandahimba 1680,basi Tunduru ikifika 1,500/-piga makofi.wazee 200/Kilo kwenye akaunti ya raisi wa wilaya.
 
NOVEMBER 2022
Dr. Bashiru Ally Kakurwa : Wakulima kama kundi ktk jamii lazima liwatishe wanyonyaji

Mtetezi wa Mkulima ni mkulima mwenyewe. Hata watawala shibe yao, ulinzi wao, .... unategemea kodi za wakulima
 
12 October 2018
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally Kakurwa akiwa kwenye Kongamano la Kumbukizi ya Kifo cha Mwalimu Nyerere amewataka Watanzania wasiogope kusema ukweli
 
21 November 2022

Bashiru Urges Farmers to Force Govt to Take Their Side. CCM Is Not Pleased

1669639908773.png

Dr Ally was speaking during a gathering organised by the Network of Smallholder Farmers’ Groups in Tanzania (MVIWATA) in Morogoro, on November 17, 2022, to discuss the fate of smallholders in the country within the context of the free market ideology.

“My hope is that your solidarity will send a clear message to those in positions of power,” Dr Ally, now serving as an appointed Member of Parliament, told smallholders. “Your statements and positions should intimidate them to take your side.”

The former University of Dar es Salaam lecturer warned farmers against the danger of joining the chorus aimed at heaping praises on President Samia .......

Source : Bashiru Urges Farmers to Force Govt to Take Their Side. CCM Is Not Pleased - The Chanzo Initiative
 
Wakulima wakorosho sasa wapambane na hali zao..hakuna wakuwatetea..viongozi wao ndio madalali wa korosho.

#MaendeleoHayanaChama
Haya mamia ya malori huku barabara ya Kilwa yanayoenda DSM huku yakiwa yamebeba shehena ya korosho ni ya nani?
Hii korosho ni ya nani?
Kwa nini hayabughudhiwi kwenye mageti ya mazao!!??
 
Back
Top Bottom