Wakulima wagomea bei ya Korosho

We akili huna, Mimi nafanya biashara na pia nna mashamba ya mikorosho huko kusini pamoja na mihogo, huyo jiwe kawafirisi watu wengi kipindi kile
Mkulima umekimbia? Halafu ulivyo juha unataka kudanganya watu hapa eti umeporwa milion 18 wewe ni muongo sana inavyoonyesha hata mtwara haujawahi kufika
 
Acha uzwazwa wewe utawala wa magufuli mimi ndio nimeuza korosho bei kubwa tangu nizaliwe
Acha upumbavu, Hilo jiwe lako lilikuta watu wameshatengeneza misingi hata bei ikafika hapo ilipofikia, alipoharibu mpaka leo mambo hayajakaa sawa!!

Kama hujui mambo bora ukae tu kimya!!
 
Mkulima umekimbia? Halafu ulivyo juha unataka kudanganya watu hapa eti umeporwa milion 18 wewe ni muongo sana inavyoonyesha hata mtwara haujawahi kufika
Kumbe wee ni Mtu Chihangu baina ya Meta na Mnyambe, kule hakuna mikorosho!

labda ndio maana hujui unachokitetea hapa!!
 
Hongera na ahsante mkuu, Kwa mchango wako
 
Mkulima umekimbia? Halafu ulivyo juha unataka kudanganya watu hapa eti umeporwa milion 18 wewe ni muongo sana inavyoonyesha hata mtwara haujawahi kufika
kumbe nabishana na toto la kukaa kwa shemeji
 
Hauna uwezo huo wewe wa kumiliki korosho zenye thamani hiyo haya nikuulize swali shamba hilo liko sehemu gani?
we endelea kusubiria ugali kwa shemeji hapo, korosho za mil.18 unaona ni nyingi Sana ?
 
Mkulima umekimbia? Halafu ulivyo juha unataka kudanganya watu hapa eti umeporwa milion 18 wewe ni muongo sana inavyoonyesha hata mtwara haujawahi kufika
We ni tahira, na tatizo wahiyao wengi shule hawana , na wewe ni mmojawapo, mnachojua kushikwa mkono na kupigwa miti tu, kwa ujinga wako unaona huko mtwara ni ulaya ndogo . Stupid
 
we endelea kusubiria ugali kwa shemeji hapo, korosho za mil.18 unaona ni nyingi Sana ?
Sijakuambia milioni 18 nyingi ila wewe hauna uwezo huo na hamna yeyote aliedhulumiwa pesa yake kima wewe nawajua wanunuaji wengi sana tena wenye mitaji na wote walipata pesa yao sasa iweje wewe peke yako udhulumiwe? Na ulipima chama gani hizo korosho?
 
Bwana yule alitengeneza kizazai Cha kusifu nakupongeza kuliko empire yoyote hapa Duniani.

Aliwaaminisha wafuasi wake , kua yeye ndie masihi wa kuokoa kizazi Chao. wale watakao fuatia baada yake watakua Manabii wa uongo hivyo wapingwe kwa jina la lake.

Wale wote watakao kanisha uongo hao watakua wameuza utu wao kwa ma beberu.

Vumilia ,wanafunzi walimpenda Mwalim wao na wameanua kuyaishi Yale yote alio wafundisha, Huku wakitegemea kuungana nae kuongoza Taifa la Maraika.
 
Acha upumbavu wa kubisha kila kitu niliuza ndio. Mtu uko mikoa ya kati huko unaleta harakati za kubishia usichokijua
ona upumbavu wako ungekuwa mkulima weye ungeshinda kupiga domo JF... milofa ya LUMUMBA utaijua tu kwa uzwazwaz wao kazi ushabiki tu njoo huku kibiti uongee hiyo shombo yako kitachokukuta usimwambie mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…