Wakulima wagomea bei ya Korosho

Korosho ndio inaenda kudidimia..nchi ya walamba asali hii sasahivi wamejipanga kumnyonya mkulima..ukute bei ni kubwa tu huko kwenye masoko ta nje.

Ila wao wanawapanga wafanyabiashara kisha wanaenda kuuza kwa faida kubwa.

#MaendeleoHayanaChama
Duh we acha tu ndugu
 
Jinsi nilivyo na hasira Leo haielezeki.
Hivi wanajua vurumai la kulima korosho lilivyo!?.
Huku vijijini watu wanajua Rais ndo mwenye kosa, na katika hili Rais Ana kazi nzito kwa hii mikoa ya kusini.
Watu hawamuelewi
 
Hivi kwa nini mnasema kila anayemkosoa Magufuli analamba asali? Kwa hiyo hakuna mkosoaji wa Magufuli ambaye hakuridhiswa na sera zake bali wote ni maslahi binafsi?
 
Hivi kwa nini mnasema kila anayemkosoa Magufuli analamba asali? Kwa hiyo hakuna mkosoaji wa Magufuli ambaye hakuridhiswa na sera zake bali wote ni maslahi binafsi?
Ukishabikia hoja za walamba Asali nawe tunakuweka kundi moja nao, hata kama nawe uko unapigika na korosho tangu mwezi wa 5, kupogolea, kupiga magugu, kupuliza, kulimia mpaka kuvuna.

Bei ya sasa ukilinganisha na Gharama za Uzalishaji, NI UNYANG'ANYI WA MCHANA KWEUPE. Ajabu wewe mkulima sawa nami unahalalisha kwa hoja za walamba Asali, ETI UCHUMI UMEYUMBA. Mbona bia haipungui bei?

Elimu yetu ni Janga LA Taifa.
 
Upo sahihi kabisa, wachangiaji wengi wanazungumzia swala hili kisiasa na sio katika hali ya uhalisia. Ingewezekana wakulima wangezikataa hizo dawa msimu ujao.
Wanakera Sana haswa Hawa Chawa wa wanasiasa...ulagahai wa kisiasa Ni tatizo kubwa Sana ...Sasa Bei ya 1600 ukitoa matozo yao mkulima atanufaika Nini...
 
Wale watetezi wa wakulima wa korosho akina Nauye..Maembe..Kasimu..Aliyekua mwenyekiti wa bodi Annae wako wapi.

Au ndio zama za walamba asali hizi wanakula kwa urefu wa kamba zao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bei ya sasa ukilinganisha na Gharama za Uzalishaji, NI UNYANG'ANYI WA MCHANA KWEUPE. Ajabu wewe mkulima sawa nami unahalalisha kwa hoja za walamba Asali, ETI UCHUMI UMEYUMBA. Mbona bia haipungui bei?
Mgomo wa Bei inabidi uwe mkubwa.....

Rais na Makamu wake wamekwenda ukanda wa kaskazini Mara Saba Mwanza ,Arusha,Kilimanjaro nk ...

Huku Lindi na Mtwara hakuna alitekanyaga hata Mara moja kutusalimia....

It's unfair....tusilaumiane 2025...
 
hovyo kabisa... nimekuuliza ulishawahi uza hiyo bei au ulimuona nani kalipwa bei hiyo
Acha upumbavu wa kubisha kila kitu niliuza ndio. Mtu uko mikoa ya kati huko unaleta harakati za kubishia usichokijua
 
Wale watetezi wa wakulima wa korosho akina Nauye..Maembe..Kasimu..Aliyekua mwenyekiti wa bodi Annae wako wapi.

Au ndio zama za walamba asali hizi wanakula kwa urefu wa kamba zao.

#MaendeleoHayanaChama
Hao wote ukimtoa membe ni wahuni na wamemwaga pesa sana kwa vijana ili wawanunulie kangomba hili linajulikana kabisa kwasisi wakazi wa huku kusini hakika apumzike kwa amani JPM
 
Huna akili wewe, huyo alichowafanya watu wa kusini hatuwezi kusahau
Unaniudhi sana kwa kujifanya mtu wa kusini yaani sisi tumechanganyikiwa serikali ipo kimya haitoi kauli yeyote juu ya utata huu halafu wewe unaleta siasa zako za kijuha
 
Unaniudhi sana kwa kujifanya mtu wa kusini yaani sisi tumechanganyikiwa serikali ipo kimya haitoi kauli yeyote juu ya utata huu halafu wewe unaleta siasa zako za kijuha
We akili huna, Mimi nafanya biashara na pia nna mashamba ya mikorosho huko kusini pamoja na mihogo, huyo jiwe kawafirisi watu wengi kipindi kile
 
We akili huna, Mimi nafanya biashara na pia nna mashamba ya mikorosho huko kusini pamoja na mihogo, huyo jiwe kawafirisi watu wengi kipindi kile
Umeshindwa kujibu nimekuuliza shamba lako wewe lipo sehemu gani na kijiji gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…