Wakulima waandamana mkoani Kagera kwaajili ya kuwaombea msamaha wanasiasa ambao hawatambui mchango wa serikali katika sekta ya kilimo

Kagera ni wakulima wa nini

Labda ndizi lkn kuna hamna kituuu
 
Zamani niliamini Ziwa Magharibi ni wajanja na hawadanganyiki!!
 
Yaani cameraman kawachukua picha waandamanaji kwa juu asiwachukue kwa mbele
Poor Tanzania na nilivyosikia jina la mkuu wa mkoa baasi figisu kwake ndo zimetamalai
Ccm mengine sio lazima muigize mkubali tu hali kwa sasa sio kwa Tanzania hii ujuaji muache watanzania wameamka
Tafute namna ya kuondoa changamoto zinazowakabili wananchi sio hayo MAIGIZO
 
Nyie Tanzania ina watu wamejizima data


Ndivyo tujuavyo hivyo, kumbe sifa hiyo inaendana na unafiki. Wanaandamana huku nafsi zao zikiwastuta kuhusu mfumuko bei za bidhaa muhimu za msingi katika maisha ya kila siku.
1Timothy 4:2
 
Ndivyo tujuavyo hivyo, kumbe sifa hiyo inaendana na unafiki. Wanaandamana huku nafdi zao zikiwastuta kuhusu mfumuko bei za bidhaa muhimi za msingi katika maidha ya kila siku.
1Timothy 4:2
Bei za vitu zimeongezeka dunia nzima wewe unamlaumu raisi. Hivi nyinyi wengine uelewa wenu unakuwaje?


Waache wakulima wampongeze mama kwa kuwakomboa. Masoko ya mazao yote yako vizuri na bei za mazao yao ziko juu. Kwa mfano kahawa 2,000+ wakati huko nyuma wakati wa serikali ya kina Bashiru ilikuwa kilo ya kahawa imelingana na Bei ya soda 700!
 
Upumbavu wa kiwango cha rami
 

Kwa hiyo walisubiri mpaka Dr Bashiru aseme aliyosema ndio waandamane. Na aliwaambia anataka kuombewa msamaha?
1 Timotheo 4:2 na Waefeso 4:19
 
Chalamila kesha nyooshwa na kuonja ugumu wa kukaa benchi huyu na wa Mbeya wamezidi kujikomba hadi nyefunyefu sijui wanamdanganya nani, harakati hizi za Chalamila na Homela ni kwa maslahi yao na jamaa zao.
 
 
hao ni wajinga wakiongozwa na chalamilaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…