Wakulima vs Wafugaji

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,574
2,000
Hivi ugomvi kati ya wakulima na wafugaji hapa Tanzania utaisha lini??

Huwezi kaa siku tatu ukakosa kusikia ktk taarifa za habari watu wameuana

Hivi serikali imeshindwa au tunaishi kimazoea??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom